Nimfanyaje

Fee

0 fans

Fee

A fee is the price one pays as remuneration for services. Fees usually allow for overhead, wages, costs, and markup. more »


3:24

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Nimfanyaje, nimfanyaje
Nimfanyaje, nimfanyaje
Nakukumbusha ulisema
Hayatakua kwa muda
Tena ulikazia palee
Nikikuwazia mema
Moyo unaniuma
Sio kwa ulivyonitenda oouuoh
Mwili umechoka
Akili imechoka
Nafsi imechokaaaa
Hata kukuambia navyojisikia kwako haina manaa
Umeshanishusha unavyoniona kwako hadhi sina
Nahenyeka me aah
Unanitesa
Nikiwaza kwenda mbali
Nahisi kama nakuhitaji come on
What's going on
Nikifanya maamuzi
Nikikuona nabadilika oh hapo hapo
Najiulizaaa
Nimfanyaje nimfanyaje
Ananiumiza
Me bado nampenda
Ooooh ananiumiza,ananiliza
Me bado nampenda
Ninajiona mjinga
Ninajiona sifaaai
Najisikia vibaya aaah
Na mambo unayofanya aah ni kama hukunijua aaah inaniuma aah
Sitaki nijute
Kukutana nawe
Hata nizunguke ntakwona wewe
Acha niumie moyo niuguze mpaka nitulie ooh mwenyewe
Nikiwaza kwenda mbali nahis kama nakuhitaji come on wats going on
Nikifanya maamuzi, nikikuona nabadilika oohh
(hapo hapo)
Najiulizaaa
Nimfanyaje nimfanyaje
Ananiumiza
Me bado nampenda
Ooooh ananiumiza ,ananiliza
Me bado nampenda
Nimfanyaje, nimfanyaje

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Florah Mafupa

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Nimfanyaje Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Nimfanyaje Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 25 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11572029/Fee/Nimfanyaje>.

    Missing lyrics by Fee?

    Know any other songs by Fee? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who is the soft voice behind the ukulele version of “Over the Rainbow”?
    A Gabby Pahinui
    B Israel Kamakawiwoʻole
    C Dennis Pavao
    D Keali'i Reichel

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Fee tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!