TRUE LOVE (feat. UWEZO GODIOUS)
Prince-D
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Yeah Uwezo in this with Prince D It's another Prince D music Yeah true love Tangu ku zaliwa kwangu Sijawahi kuwa na bahati hii Kama ninayo toka nilipo ingia Ndani ya upendo huu Nilipotafuta mapenzi Moyo wangu laini uli gongwa Moyo wangu uli gongwa Na wale walio jifanya kunipenda Moyo wangu hakika uli vunjika Na wale walio jifanya kunipenda Lakini ulipojitokeza Mpenzi maishani mwangu Uliondoa (ah) maumivu yote Ndani ya moyo wangu, yo yo Tangu ku zaliwa kwangu Sijawahi kuwa na bahati hii (na bahati hii) Tangu ku zaliwa kwangu Sijawahi kuwa na bahati hii (Sijawahi kuwa na bahati hii) kama ninayo Toka nilipo ingia ndani ya upendo huu(oh oh) Kama ninayo Toka nilipo ingia ndani ya upendo huu Hiini true love (Hiini true love) eh eh Hiini true love Oh oh Upendo wa kweli ndio tuna Mimi na wewe yo (yeah) Alright, Uwezo come on take it Hakika nilipokuona mara ya kwanza Macho ili kuona nao moyo ukakutamani, eh eh Mdomo ukakiri upendo wangu kwako Na rohoni nikaapa kwamba Nitaishi daima ndani ya moyo wako, oh oh Kwani kwako nime pata mapenzi moto moto Nikiwa kwako unanituliza kama mtoto Fumba macho na ufuate upendo wangu kwako Huu ni upendo wa kweli Je t'aime beaucoup Huu ni upendo wa kweli kwako oh oh Yeah eh eh eh eh eh Eh pah, uh Tangu ku zaliwa kwangu Sijawahi kuwa na bahati hii (yeh eh eh eh) Tangu ku zaliwa kwangu Sijawahi kuwa na bahati hii (Sijawahi kuwa na bahati kama hii) kama ninayo Toka nilipo ingia Ndani ya upendo huu(oh oh) Kama ninayo Toka nilipo ingia Ndani ya upendo huu(ah ah ah) Hiini true love (Nakupenda bébé) eh eh Hi ni true love, ah ah Prince D (Uwezo records)
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Written by: DAVID ANDERSON MUGABE, UWEZO GODIOUS
Lyrics © DistroKid, TUNECORE INC
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"TRUE LOVE (feat. UWEZO GODIOUS) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 27 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/10402076/Prince-D/TRUE%C2%A0LOVE+%28feat.+UWEZO%C2%A0GODIOUS%29>.
Discuss the TRUE LOVE (feat. UWEZO GODIOUS) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In