Song parody of

Nanenepa

by Appy

Here's where you get creative! Use our cool song parody creator to make a totally new musical idea and lyrics for the Nanenepa song by Appy.

Simply click on any word to get rhyming words suggestion to use instead of the original ones. You may also remove or alter entire lines if needed — when you're done save your work and share it with our community — have fun!

  • English (English)
  • Français (French)
  • Español (Spanish)

Acha nikupe tenzi yamenifika mahaba Kufurukuta siwezi yamenishika hapa Nikuonapo we Sio siri moyo wangu Wanidunda kitenesi Moyo wanidunda dunda dunda daunda aah Adamu ukimenya tunda tunda tunda tunda aah Penzi ni siri ya wawili aaaah Nadhiri ishamiri aaaah Baby Penzi kamari Unakula unaliwa Mzigo we ndio Bandari mwenzako nimenogewa Wanauliza sana nanenepa nepa Mimi kwako nanenepa nepa Wanauliza sana nanenepa nepa Mimi kwako nanenepa nepa Waaa nauliza sana nanenepa nepa Mimi kwako nanenepa nepa Au basi nikupe moyo wangu Au basi nikupe akili yangu Au basi Au basi Ah wapi we pekee nakupatia nafasi Niishi nawe bila wasi Oooh wasi Nakama inawauma tuwape panado Oooh panado Usiniache solo solo solo Mimi kwako kolo oh kolo kolo Penzi ni siri ya wawili aaaah Nadhiri ishamiri aaaah Baby Penzi kamari Unakula unaliwa Mzigo we ndio Bandari mwenzako nimenogewa Wanauliza sana nanenepa nepa Mimi kwako nanenepa nepa Wanauliza sana nanenepa nepa Mimi kwako nanenepa nepa Waaa nauliza sana nanenepa nepa Mimi kwako nanenepa nepa

Done creating your parody?

Don't keep it to yourself! Save it now so you can share it with the rest of the world!

Browse Lyrics.com

Quiz

Are you a music master?

»
"Ground Control to Major Tom -- Take your ______ pills and put your helmet on."
A daily
B protein
C acid
D vitamin

Free, no signup required:

Add to Chrome

Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

Free, no signup required:

Add to Firefox

Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

Appy tracks

On Radio Right Now

Loading...

Powered by OnRad.io


Think you know music? Test your MusicIQ here!