Song parody of
Chinene
by GannaOfTales
Here's where you get creative! Use our cool song parody creator to make a totally new musical idea and lyrics for the Chinene song by GannaOfTales.
Simply click on any word to get rhyming words suggestion to use instead of the original ones. You may also remove or alter entire lines if needed — when you're done save your work and share it with our community — have fun!
Tandabui tanda net Kwangu bado nisafina utamu wake chocolate
Kwake bado na mung'unya
Karibu tena Kwa busati, niko vile tiralira
Macho mbele kama tochi kama tochi kama tochi
Sitaki uchungu kwenye mapenzi niliumizwaga
Battle mapenzi kwenye ulingo nilishindwaga
King of sorrow sina makando nimechizika
Mtoto khanga moko kama inadondoka yeaah
Ameniweza check makatalog
Vile akicheza kiuno ya bata kama mgodi buzwagi
Sina mashaka mwenye mamlaka amenipa kotekote
Singida dodoma dodoma nimeshachoma waya
Ngoma imewamba hakuna ujanja mashuti ya gamba waah
Vile natamba kwenye uwanja penguin natamba
Ngoma nganganga moyo ushapenda tupia tu kamba aah
Vile natamba kote nacheza nacheza na nanyaya
Chinene kwa kweli umeniweza yeyeye nikuonapo ninazuga yeye
Juu kama Mwezi ama kama nyota yeyeye nitakupenda kama mwezi nyota yeye

Ona vile navyoyumba macho vile kama komba
Sogea nikuchape vumba ona Mungu ameumba
Napenda ukicheza rhumba kiuno unavyochallanga
Umenizinga kama ukuti sina ujanja baby
Mtoto hatare hatare amenipeleka juu
Down sina story hapa matawi ya juu
Shuka panda kama samba hapa hullabelouuu
Nipe mapenzi nipe mapenzi usinibanie tetele
Shuka chini panda juu shuka chini panda juu

Chagaland chagaland kwako baby sipretend temana
Na hawa makapi nina vyeti vya ufundi
Chagaland chagaland kwako baby sipretend temana na
Hawa makapi nina vyeti vya ufundi
Shoba shoba shoba shoba shobaaah
Shoba shoba shoba shoba shobaaah
Shoba shoba shoba shoba shobaaah
You kill my vibe shoba