Song parody of

Nobody is safe 3

by Dizasta Vina

Here's where you get creative! Use our cool song parody creator to make a totally new musical idea and lyrics for the Nobody is safe 3 song by Dizasta Vina.

Simply click on any word to get rhyming words suggestion to use instead of the original ones. You may also remove or alter entire lines if needed — when you're done save your work and share it with our community — have fun!

  • English (English)
  • Français (French)
  • Español (Spanish)

Ah Eyo kutoka Panorama nasukuma ringi kisomi Maana wa kufanya hivi simuoni Na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni Kwa mistari mingi kushinda hata nzi sokoni Dizasta ndo'jina logo ya mtaa ina-shine kuta Na-type lugha usongo kushinda mdai fuba Nuksi kama asili iliyo-design kufa Shwain kaa kando uone game nai-define upya, yoh! Na usawa ndo' huu sikosei Mnapotea kwa sababu hamna basics, na hapo ndo'mnayumba Ndio maana mkienda juu siongei na vikundi vyenu utafikiri Crew za ma-gay, Ski'za Mfumo wa nguzo za hizi tungo ni ishara kwamba nimefuzu Kwa maana hii miruko ni imara Niko sky natafuta kikomo, kwenye kisomo Nachora beyond normal muulize Dubo Dibala Expansion to the hyperspace Nakaanga mawe yanaiva ma-verse Unaweza 'dhania ni Complex Ngwair ama utadhania Langa rebirth Material deep huku diver haendi Ni kama mufti aliyelamba haramu Tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu Sipo kwenye route ya wavuvi mamluki nipo na mafundi Kina Ngugi wanawapa salamu Ukifika uliza utaambiwa mimi ni nani Utaonyeshwa mtiti kilo nyingi haipimi mizani Ukishindwa ita wabishi waje wahiji imani Waeleze naurudisha mziki nyumbani Na kama ndo' unafika sasa karibu center ya tenzi, huh! Uone bidhaa bila ya expire date Kubwa kushinda hata empire state So my single line is like your entire verse, nigga Usinishike mkono nikipake Hatuhitaji shobo, ni vina na mishono ka zuria Tofauti na midosho ya kipambe Tofauti na ngono au drama za domo na wenzake Nishavunja mwamba Kaskazini Tanzania hakuna Mroma mwenye stamina ya ku-rap na mimi Mizuka hewani utadhani anaye-rap ni jini Nusu mtu nusu rap machine Najua ushasikia tenzi bro ebwana utenzi huu noma Ita wanafunzi waje waperuzi ngoma We don't play good ukija tuna-execute Ujuzi kama Sherryl Woods naandika zaidi ya Daily News soma Panda safina imefunguliwa mito Na kingo ni mbovu ukioga tu umefunguliwa mito Wenzio wameacha mtindo wa kunichukulia simple Sikudanganyi hamna hewa huku nilipo Kwa maana ni juu sana hata ukibebwa kusogea bado Kwa hisia za ushairi napotea angani Kama vile jangwani zinavyopotea nyayo Ah! pesa inaongea nami naongea nayo Single nzito utafikiri na-double Nafoka kwa roho mbaya kama dingi wa kambo Muulize Fifi niko real kiasi sili na sharo Ripoti kutoka kilele cha ubora Kilimanjaro Ngoja tu-diverge, thanks to rap I won't die virgin Mwandiko utasema kau-design shorty Sura ya kazi utahisi mdai kodi Rai ya uhai mashakani siku hizi Emcees hawakai road Maliasili mama'angu anailinda kama mtoto wa majini Unaziamini ndoto? mi'ni kwa mama'ako Ndoto kwa demu wako, hata baba'ako anatamani Kuwa na mtoto kama mimi Sahau kuhusu chips kwenye foil Hiki chakula cha ubongo cha ku-feed kids Kwa lugha ya ku-twist kama coil Na maisha yangu myth mpaka naenda deep unaweza hisi nai-discover oil Code zinafanya wazungu wanazunguka Mafungu wanafunguka, mazuzu wanazuzuka Nilikuwa mtupu nikaokota buku nikabukuka Leo nasimulia tungo tukufu ni ka Lufufu kafufuka Legend kama Koffi Olomide Naikamata Dar kama Daudi wa Kolomije Nawalaza doro si-follow bata na-follow mishe Na ufundi ni controverse utasema Apollo mission Misele hapa mjini Natembea na begi la maiti nachinja bila kwere wala nini Busara tele utasema Nyerere ama Mwinyi Nafika kilele ila sipigi kelele kama nyinyi Fuvu limeshiba mautundu kwenye kichwa Niko underground na huku ndio mitutu inakofichwa Walikuja na gubu walizikwa kama wafu mbongo tubu Wazungu wanasujudu hiki kichwa We ni player unasifika? mi' ni game Kitambo kama Zinja kwenye plane za Afrika nasikitika hamjui Messages n'nazo-pack kwenye pictures n'nazo paint Niki-reveal scriptures kama saint uh! Ni kama big hulk kwenye mini-bus Sitoshi kwenye skinny vazi Gani lita-fit, ma-emcee wana-sound kama injini yenye hitilafu Mi'ni king wa Swahili rap get't? (yeeah!) Wanasema i am too real for the industry Stockhom mpaka Italy Ka' cruise yatch, groove hii ni concord Focus kama msongo ama mnoko anaye-solve murder mystery (Ama' G.O.A.T you can see that) look at my family tree Look at the chemistry i have, look at my pedigree You talk about being competitive? being authentic or Having body of work or longevity? Cheki hizi rythms cheki silabi Wananiita trickster cheki ma-trickery Ma-emotions passion love hope sympathy Uh! utahisi mkono wa Mungu umeandika hii Na-spit holly ka' n'nam-bite Masihi Kwa heshima namnyang'anganya mic Madee Hii ni fact hakuna emcee wa ku-rhyme ka' D Shorwebwenzi nenda uka-bite na hii Ni deep sana na ndio maana wanaita ngumu ku-rap Deep kama chumvi kwenye uvungu wa ny@p Kabla hujani-book nitoe kwenye hayo mafungu pumbavu Mi' sio malaika mi' ni Mungu wa rap Haleluyah!

Done creating your parody?

Don't keep it to yourself! Save it now so you can share it with the rest of the world!

Watch the song video

Nobody is safe 3

96,815
1,876     0

Browse Lyrics.com

Quiz

Are you a music master?

»
Which singer holds the world record for the most words in a hit single?
A Kanye West
B Eminem
C 50 Cents
D Busta Rhymes

Free, no signup required:

Add to Chrome

Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

Free, no signup required:

Add to Firefox

Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

Dizasta Vina tracks

On Radio Right Now

Loading...

Powered by OnRad.io


Think you know music? Test your MusicIQ here!