Song parody of
Maisha
by Brokuod
Here's where you get creative! Use our cool song parody creator to make a totally new musical idea and lyrics for the Maisha song by Brokuod.
Simply click on any word to get rhyming words suggestion to use instead of the original ones. You may also remove or alter entire lines if needed — when you're done save your work and share it with our community — have fun!
Taswira naivuta kinoma
Napambana
Nipate kile sina
Taswira naivuta kinoma
Napambana
Nipate kile sina
Nimejikaza sijapata
Pande zote duniani nimetamba
Nilisoma nikatamarc
Mpaka leo kazi bado sijapata
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Na kagari nimebuy
Na kajumba nimejenga
Juu amani nilidai
And I'm not about to die
With your pointless agendas
Na hamjanijenga
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Na maisha we
Na maisha we
Na maisha we
Na maisha we
Bado napambana
Na maisha we
Bado napambana
Na maisha we
Napambana
Napambana
Taswira naivuta kinoma
Napambana
Nipate kile sina
Taswira naivuta kinoma
Napambana
Nipate kile sina
Nimejikaza sijapata
Pande zote duniani nimetamba
Nilisoma nikatamarc
Mpaka leo kazi bado sijapata
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Na kagari nimebuy
Na kajumba nimejenga
Juu amani nilidai
And I'm not about to die
With your pointless agendas
Na hamjanijenga
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Bado kidogo tu
Nitatoboa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Kama magharibi mashariki
Mi na songa
Kusini kaskazini
Mi na songa
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Napambana na maisha wee
Na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Ah ahh ah na maisha we
Na maisha we
Na maisha we
Na maisha we
Na maisha we
Bado napambana
Na maisha we
Bado napambana
Na maisha we
Napambana
Napambana