Poa (feat. Marioo) [Radio Edit]
Country Wizzy
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
I'm a badman kitaa kimenielea I'm a goodman kitaa kimenifunza Kwetu hakuna magari Shule ya kayumba yumba yumba Umetukuza ugalı Kwa kuyumba yumba yumba Mungu wa kwetu ndo Mungu wao Tuna vyakwetu wanavyakwao Usione tu raha zao zipo na shida zao Hawajui utamu wa makoko Shule kwenda kwa ngoko Kwenye vigodoro kula kopo Kutongoza kwenye chocho Wanangu wa kinondoni mambo vipi? (Poa) Ilala Mambo vipi? (Poa) Wanangu wa temeke mambo vipi? (Poa) Kariakoo mambo vipi? Nauliza kinondoni mambo vipi? Ilala mambo vipi? Temeke mambo vipi? Kariakoo mambo vipi? Nilipotoka mpaka hapa baba lazima nisherekehe Mana majukumu yalinianza nilipo balehe Kama starehe nazofanya zinakukera nisamehe Mana nilikotoka kula ubwabwa mpaka iwe sherehe Si walinifunga kwenye banda Usishangae nimetoka mnyama Viroboto na chawa wa mjini wananimanya Cheki namna mimi na pesa tunatazamana Paka zinapishana ghetto ka nafuga panya But i am who i am Hata ww ungekuwa mimi nisingependa so i dont blame Na niko juu Everything I do Me ndo yule aliyefanya watoto wapende mziki huu So braza ukiona siku hizi watoto wanashoboka Kaa ukijua nigga longtime nlishasota Na usiulize hustle hata makopo nishaokota Sasa hivi chupa nyingi baba nashushia na coca Wanangu wa bodaboda mambo vipi?(Poa) Machinga mambo vipi? (Poa) Wanangu wa dollar moja mambo vipi?(Poa) Madalali mambo vipi?(Poa) Wanangu wa bodaboda mambo vipi? Machinga mambo vipi? Wanangu wa dollar moja mambo vipi? Madalali mambo vipi? Kama unajijua umetokea maisha magumu na una hustle basi piga makofi Kama kwenu we ndo tegemezi na watu hawakosi kula basi piga makofi Umeuwa njaa piga makofi We ni shujaa piga makofi Ujakata tamaa piga makofi Nasema piga makofi tafadhali Wanangu wa A-Town mambo vipi? Dodoma mambo vipi? Wanangu wa mwanza mwanza mambo vipi? Mbeya City mambo vipi? It ain't over Untill it's over baby I'm outta here
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Poa (feat. Marioo) [Radio Edit] Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 7 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8284080/Country+Wizzy/Poa+%28feat.+Marioo%29+%5BRadio+Edit%5D>.
Discuss the Poa (feat. Marioo) [Radio Edit] Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In