Intro

TONII VENDETTA

0 fans

TONII VENDETTA


2:54

 Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer

Ni crazy man, lakini ni nice, ni good memories
Ndio nakuambia, Ni good memories Nigga…
Hiyo ndio inanionyeshanga, yeah this is it.
There is no fucking way tu unaezashinda tu ukifanya hii. Ukijaribu hii.
Kuna vitu watu wengi sana wamefanya different, Lakini sisi tumekwama kwa hizi vitu.
Sisi ndio tunafeelingi ni long, Some stories take longer than...
Lakini tume see it all, sisi penye tumetoka tumechoma
Hakuna mtu hajui story yetu.
Iyo ku doze studio iyo, hakuna mtu hajuangi…
Lakini siku moja ikilipa… atleast wanafaa kuwa hapo front row
Wakituclapia – Italipa! Juu ile ndio the best story ever!
Sisi tulisema f*ck to… Sisi tumepokea like iyo…
Unajua kuna watu husemanga nyi guys ni just lazy…
Kuna mtu hutokanga kwa hii nyumba
Anasema, eeh! Nimeacha tu mkilala… Weeh unacheka ni**a…
Watu wanatokanga hapa wakisema, Vendetta kazi yetu ni hapa…
But siku moja… watajua
Siku moja watashtukia… nataka iyo flip…
Wakuwe like, Uwongo! Aaai, hii ni shetani, this money can only be brought by the devil.
Na kuuza ma drugs…
Ivyo! Nataka ikuwe iyo… natakanga ifeel ivyo
Natakanga ikuwe like aah, it can't be you guys
Natakanga ifeel ivyo…
Natakanga wakuwe like... Hapana!
Unataka kuniambia hawa
watu walikuwa wakuwe… Hapana, those people are useless…
Lakini hakuna kitu ilikuwa inanibamba kama, the level of...
Yaani… iyo mentality ya everyone else hapa nje mwenye hatujui
Hawezi jua hii shit, hii shit sasa utajua aje?
We don't release nothing, we don't go anywhere.
Do you know?
Hadi wenye una expect wanadhani ati wana understand, huwanga hawa understand
Kwa brain yao…
Lakini… ni sawa, tutamsurprise, tunataka wenye wame… Hao ni ma none believers, We'll turn them to believers
Waanze kusema… aaah nilikuwa najua… najua…

 The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com

Written by: Antony Kariuki, Kennedy Owino

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the Intro Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "Intro Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 29 Apr. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7863378/TONII+VENDETTA/Intro>.

    Missing lyrics by TONII VENDETTA?

    Know any other songs by TONII VENDETTA? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    Who sang this hit single "Quand Le Soleil Dit Bonjour Aux Montagnes" also known as "The French Song"?
    A Suzanne
    B Lucille Starr
    C Joel Leblanc
    D Eddy Arnold

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    TONII VENDETTA tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!