COME OVER (feat. DJ Amedoh) [Extended Version]

Mesh Wallen, Mariana Love


3:31

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Anapenda nikipika huwa halalamiki
Na giza ikifika nikiwa na marafiki
Anapendaga a classic girl tena mang'aa
Nikifika kwenye bedi anashang'aa
Na nikianza za usiku siwashi taa
Ananiita star vile huwa nang'aa
Baby you unanilegezaga nikikuonaga
Baby you unanichizishaga mi nagogaga
Baby you unanilegezaga nikikuonaga
Baby you unanichizishaga nikikuonaga
Come over girl
Kamatia hiyo
Si unapendaga hivyo
Ooh baby come over girl
Ukinifanyaga hivyo
Nitakuwachaje hivyo
Come over girl
Kamatia hiyo
Si unapendaga hivyo
Ooh baby come over girl
Ukinifanyaga hivyo
Nitakuwachaje hivyo
Come over
Come over
Ca Ca Ca Come over
Kama unaleta basi si ucome over saa hii
Na usicheze mbaya mbaya ka wasichana wa Nai
Wote ngapenda but sijapata walahii
Kama wewe mwaah uko kwa kichwa hadi saa hii
Aah meremeta mere mere
Tamu peremende wewe
Aki mi ni kupe kwako siachi kuwa depende pendent
Unavyonimaliza mi hata siwezi kueleza
Kama kiti furniture wewe ndio huunimbaoisha
Ukinipendea rungu ujuange kwetu ni kwa wamasai
Au ka ni kizungu Amerucan you nguy my nguy
Mi ni ka tu bachelor bachelor ameomoka kiplani
Na we ni natella shopping huwezi pata kwa comrade
Baby you unanilegezaga nikikuonaga
Baby you unanichizishaga mi nagogaga
Baby you unanilegezaga nikikuonaga
Baby you unanichizishaga nikikuonaga
Come over girl
Kamatia hiyo
Si unapendaga hivyo
Ooh baby come over girl
Ukinifanyaga hivyo
Nitakuwachaje hivyo
Come over girl
Kamatia hiyo
Si unapendaga hivyo
Ooh baby come over girl
Ukinifanyaga hivyo
Nitakuwachaje hivyo
Come over
Come over
Ca Ca Ca Come over
Ukipata shida unaniambia nakutulizaga
Ukinihitaji unanipigia mi nakujaaga
Baby ukiboeka nakuimbia usiku mchana
Sipendi mambo mingi my dear kwako nimeridhia

 Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!

Written by: Alice Wangui, Marion Kioko, Shem Mwiti

Lyrics © DistroKid

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Discuss the COME OVER (feat. DJ Amedoh) [Extended Version] Lyrics with the community:

0 Comments

    Citation

    Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:

    Style:MLAChicagoAPA

    "COME OVER (feat. DJ Amedoh) [Extended Version] Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 17 May 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/7754883/Mesh+Wallen%2C+Mariana+Love/COME+OVER+%28feat.+DJ+Amedoh%29+%5BExtended+Version%5D>.

    Missing lyrics by Mesh Wallen, Mariana Love?

    Know any other songs by Mesh Wallen, Mariana Love? Don't keep it to yourself!

    Browse Lyrics.com

    Quiz

    Are you a music master?

    »
    In which year did David Bowie die?
    A 2014
    B 2016
    C 2015
    D 2013

    Free, no signup required:

    Add to Chrome

    Get instant explanation for any lyrics that hits you anywhere on the web!

    Free, no signup required:

    Add to Firefox

    Get instant explanation for any acronym or abbreviation that hits you anywhere on the web!

    Mesh Wallen, Mariana Love tracks

    On Radio Right Now

    Loading...

    Powered by OnRad.io


    Think you know music? Test your MusicIQ here!