Pokea Sifa
Tumaini Gospel Singer's
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Pokea sifa Bwana Pokea sifa Bwana Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Eeeeeh Bwana Pokea sifa Bwana Pokea sifa Bwana Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Eeeeeh Bwana Eeeh Bwana nimesikia habari zako Nami Bwana ninaogopa Eeeh Bwana nimesikia habari zako Nami Bwana ninaogopa Wewe waiuna wanyonge wenye kiburi Unawashusha wenye majivuno Huwapa adhabu wanyenyekevu uwainua Wewe waiuna wanyonge wenye kiburi Unawashusha wenye majivuno uwapa adhabu wanyenyekevu uwainua Pokea sifa Bwana Pokea sifa Bwana Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Eeeeeh Bwana Moyo wangu una kiu sana Yakukusifi Bwana wa majeshi Wamajeshi Moyo wangu una kiu sana Yakukusifi Bwana wa majeshi Wamajeshi Nikitaka kusimulia nashindwa kusimulia Sifa zako ni nyingi eeeh Bwana Nikitaka kusimulia nashindwa kusimulia Sifa zako ni nyingi eeeh Bwana Pokea sifa Bwana Pokea sifa Bwana Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Eeeeeh Bwana Pokea sifa Bwana Pokea sifa Bwana Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Maana wewe ni Mungu wetu Wewe ndiwe muweza wa yote Eeeeeh Bwana Pokea sifa Baba eeeeh Pokea Hakuna kama wewe Mungu wetu Uishie mahali pajuu Baba Pokea Umetufanya sisi kwa mfano wako Hakuna kama wewe Baba Pokea Sifa na Utukufu tumpe nani Twakurudishia wewe Pokea Pokea pokea baba Mungu wetu Pokea Ulikotutoa mbali sana na mahali tulipofika sifa na Utukufu Pokea Eeeeh Ebenezer eeeeeh baba ooooh
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Pokea Sifa Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 14 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11143402/Tumaini+Gospel+Singer%27s/Pokea+Sifa>.
Discuss the Pokea Sifa Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In