Sikio
Tumaini Gospel Singer's
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Sikio lako limesikia habari nyingi Magazetini redio na hata tv Sikio lako limesikia habari nyingi Magazetini redio na hata tv Habari za siasa habari za uchumi Habari za siasa habari za uchumi Yoiyoooo Habari za siasa habari za uchumi Habari za siasa habari za uchumi Yoiyoooo Ulipojua magonjwa ulipojua vita na kifo Ulipojua magonjwa ulipojua vita na kifo Moyo wako ukajawa na mashaka Moyo wako ukajawa na mashaka Tega sikio tumeleta habari njema Tega sikio usikie habari njema Tega sikio tumeleta habari njema Tega sikio usikie habari njema Yupo Yesu ni bingwa wa yote Yupo Yesu kiboko wa yote Kwanini upeleke mali kwa waganga wa kienyeji Badala ya kuzitafuna na watoto wako Kwanini upeleke mali kwa waganga wa kienyeji Badala ya kuzitafuna na watoto wako Ujue unauleta umasikini nyumbani mwako Ujue unayaleta matatizo mwenyewe Ujue unauleta umasikini nyumbani mwako Ujue umeyataka matatizo mwenyewe Oooh baba yoiyooo Aaaaah badilika aaaah Mama yoiyooo Aaaah badilika aaaah Baba yoiyooo Aaaah badilika aaaah Mama yoiyooo Aaaah badilika aaaah Badili mwenendo wako Aaaah badilika aaaah Badili mwenendo wako Aaaah badilika aaaah Baba yoiyooo Aaaah badilika aaaah Utauwa watoto wako Aaaah badilika aaaah Wewe eheeeeh Shetani ni baba wa uongo achana naye Shetani ni baba wa uongo achana naye we Atakudanganya atakulaghai bure Atakudanganya atakulaghai Kama Adamu na hawa Baba ooooooh Mwamini Yesu ndugu yeye ni njia ya kweli Mwamini Yesu ndugu yeye ni njia ya kweli Wa mwendeao yeye hawatapotea Wa mwendeao yeye hawatahadaika Mama ooooh Yesu kiboko Yesu kiboko Yesu kiboko Yesu kiboko Yesu kiboko Yesu kiboko Kiboko ya magonjwa Yesu kiboko Kibokoooo Ukiwa na shida mbalimbali Yesu kiboko Umekumbwa na matatizo Yesu kiboko Shida zoteeeee Yesu kiboko Hakuna asiloliweza Yesu kiboko
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Sikio Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 14 Jun 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/11142546/Tumaini+Gospel+Singer%27s/Sikio>.
Discuss the Sikio Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In