SAKA Doo (Official Lyrics)

by KIZAZI SANA GANG (Tala Boy Classic X Armaner X Dantez

A MUSIC GROUP FROM COASTAL KENYA AIMED AT ELEVATING COAST HIPHOP CULTURE




Verse 1: Dantez
            
Am looking for money natafuta pesa life Iko funny ndo maana natesa Sina haraka ntakuja kalesa, lewa muziki na beat ndo chaser walivouliza Niko vipi? Nikawajibu kabisa, huku umeshika mavisa kwenda sokoni kusaka mapesa pesa sa nipe 'hi' Niko fiti nikupe kidole Cha rasa, nimerudi inakaa niliondokaga kalesa Lesa super hero wa mabinti kusaka mavumba na tas Niko zangu kisiwani nakunywa kasupu ka pweza na kasa vile na napenda muziki, takwenda kumuona basata, takwenda na kuku ju kuku ni ndege na kule watu hula Bata, am looking for money najua ntapata,tafuta Doo sichoki kusaka, mkitaka flow najua ntawapa mkali wa flow najua nko hapa!

Chorus:
(Am looking for money ( money money)
Saka Doo ( nasaka hiyo Doo) 
Saka flow ( nasaka hiyo flow)
Saka Doo( saka hiyo Doo))    X 2

(Saka Saka Saka Doo
Saka Saka Saka flow
Saka Saka Saka Doo
Saka Saka Saka more)    X2


Verse 2: Tala Boy Classics 

Saka fuba Kila Kona, Nile Bata, Nile kuku nile Hadi kanga Niwapotezee motherf**kers, I don't care Hela nazisaka,mwanaume ni effort, stand strong like gecko, jitume kidume kwenu sio kwako jipange na kesho, nimetokea ghetto siishi Kwa mikopo, wewe ni wewe huwezi kua mimi so hio ni ndoto, Dera bila chupi hiyo n habari za mjini, makini herbal si ya joh makini, akili kichwani muhimu ni kua makini, kitambi bila Hela hiyo ni ball, pata Hela unukie marash, nikiwa mashash sitaki ma hash, moshi Kwa Moshi, sex na socks, am looking for money, nitimize ndotoo, kushoto kulia watoto wanalia, no jobs more crime, less jokes....


Verse 3: Armaneh
More flows more Doo, top score mi na score, oya vipi ma bro si tupige mchongo, ju 254 ni gamble vita kali ka ya Rambo ma nigger stay humble, michongo piga double, Bora kuji pimp boys hakuna pusha ndani, push push for real, go hard ka msee wa line, fake rappers nawakill, mission tumesha-sign, kama Doo tupige deal ukiroba joh am gone.

Chorus:
(Am looking for money ( money money)
Saka Doo ( nasaka hiyo Doo) 
Saka flow ( nasaka hiyo flow)
Saka Doo( saka hiyo Doo))    X 2

(Saka Saka Saka Doo
Saka Saka Saka flow
Saka Saka Saka Doo
Saka Saka Saka more)    X2

Written by: Jontez_crank254

Submitted by: johnclemo19 on February 21, 2023

© Lyrics.com