Verse 1 Una hali gani unayefanya moyo wangu unadadarika Niko taabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka. Umeniweka rehani changu kiwiliwili moyo umeuteka Umeniathiri honey nshaaribika mbaya kwa yako makopa Kama mapenzi kitabu ungekuwa kurasa ya katikati Ukichanwa wewe stori haiendelei Aaaah nakupenda mpaka adhabu baby nahisi kuna hatihati Ukiniacha wewe walahi mimi sitoboi BRIDGE Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani Mimi ndege wako sa manati ya nini Nakupa ruhusa weeee! CHORUS Nidhibiti nidhibiti nidhibiti Nakupa ruksa weee! Nidhibiti nidhibiti nidhibiti VERSE 2 Ewee baby Eweee baby Mke wangu mume wangu Mimi na wee hadi milele Ooooh mbivu ziwe mbichi ni vya kwetu sisi sijali nisharidhia Yayaah Wabaya wanafiki watafute viti wakae kwa kutulia hayaaa Upendo kwetu faradhi umepita tsunaa Rabiii atuhifadhi mpaka kufika chanaa Na mimi kwako ni radhi kufa kuzikana Waambie wavunje nazi si tumeshindakana BRIDGE Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani Mimi ndege wako sa manati ya nini Nakupa ruhusa weeee! CHORUS Nidhibiti nidhibiti nidhibiti Nakupa ruksa weee! Nidhibiti nidhibiti nidhibiti2
Submitted by: techinlife27 on November 28, 2022
© Lyrics.com