I hope uko salama Mi niko easy I hope sio gharama Kukujulia hali Unatesa mitandaoni Rocking versace With all of your friends And all of your gang I hope sijakosea timing Nikuambie one thing Nakutakia mema Mema Maisha ya neema Tutaonana tena Nakutakia mema Mema Maisha ya neema Tutaonana tena Yes nimepotea Siku nyingi I know nilikosea Kukuumiza hivo And I wish I never ever left I wish I never ever ghosted you Najua I will never get Mmoja mwenye ako so damn true And I can't let myself forget Vile ulinipenda Ulinipenda Nakutakia mema Mema Maisha ya neema Tutaonana tena Nakutakia mema Mema Maisha ya neema Tutaonana tena
Written by: Shadrack Mutungi
Lyrics © DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
© Lyrics.com