Fatima
Wanzi & Trio Mio
Struggling with Fatima? Become a better singer in 30 days with these videos!
Bad girls all over the world Ahhh hhaaa Yee yee yeeeh Trio mio Wanzi on this one Mkurugenzi Kingpheezle on the beat Fatimah fatimah fatimah taaah Msupa mbeba zigo vile inatakikana Anafanya nivunje shingo leo nimepatikana Inafa nipelete jiko ndo kawaka sana Vile fatuma amejaza kwa hio dera Nabado anasema si mjaka ametoka mandera Hii ni mti unasema lazima ukule hio mapera Juu mtoto atatoka hapa utadhani nikaaka vera Hapa ikibidi ate leo pesa natupa Me ujitambua lugha Lakini hapo itarauka Kwela kameshuka Marashi yananuka Si wale wa matutaa tutaa Aki banjuka Ady kichwa kanaruka Na kamejanjaruka Uwezi msuka na chupa Nimechapanisha mbaka amerudingi sare Mbaka juzi amenijenga ndai moja ferare Sare Badgyal Fatyma Napenda vile unasonga unanimaliza Badgyal fatima Bazenga na makagare kizangila Bad gyal Fatyma Napenda vile unasonga unanimaliza Badgyal fatima Bazenga na makagare kizangila Fatima fatima fatimah taaa Msupa beba ziggo vile inatakikana Anafanya nivunje shingo Leo nimepatikana Inafanipepete jiko ndo kawake sana aii Fatima fatima tikisha Matina Shukisha pandisha Rudisha back it up Hapa msuko msuko Mulipuko na cheza dirty na Sisi tu ndo tuko Tunavituko tunatafta party na Aii nime come na mukuchu Nime come na ndai Nime come na ndukulu Nime come na ngwai Bahati kama bukuku Form leo ya ku fry Leo nacome na looku tu Mifuko ziko dry Bad gyal Fatima Napenda vile unasonga unanimaliza Badgyal Fatima Bazenga na makagare kizangila Badgyal Fatima Napenda vile unasonga unanimaliza Badgyal Fatima Bazenga na makagare kizangila Hii doba niya kizangila Kuskiza una budi si ni lazima Dj rudilia hidoba wacha fitina Kiuno inaruka enyewe siya kichinaa ayee Hii doba niya kizangila Kuskiza una budi si ni lazima Dj rudilia hidoba wacha fitina Kiuno inaruka enyewe siya kichinaa ayee Fatimah fatimah fatimah taaah Msupa beba zigo vile inatakikana Ananifanya nivunje shingo Leo nimepatikana Inafanipelete jiko ndo kawake sana aii Fatimah fatimah fatimah taaah Msupa beba zigo vile inatakikana Inafa nivunje shingo leo nimepatikana Inafa nipelete jiko ndo kawake saana Bad boys bad girl all over the word Bad girls all over the world Bad boys bad girl all over the word Bad girls all over the world
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Fatima Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 15 Oct. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/8638738/Wanzi+%26+Trio+Mio/Fatima>.
Discuss the Fatima Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In