Pressure
Mansa Akeem
Struggling with Pressure? Become a better singer in 30 days with these videos!
Nakuja na pressure Nafika kupika na chef jo nipunguze pressure Chapa kakolo at home nipunguze pressure Mi hutembeanga solo jo nipunguze pressure But im a diamond though Nakuja na pressure Nakuja na pressure Nakuja pressure Shawty just leave me alone Mbona unakuja na pressure I be chilling in my zone Mbona unakuja na pressure Nakuja na pressure Nakuja pressure Naleta moto mskize Nairobi A K double E M now you know me Beat is my prey And killing my hobbie Food imeburn Chef curry Im sorry Hapa nimecome kutesa kimaster Career imecome dunia disaster After corona mimi ndio chapter Ka ni chapaa naomba come faster Watu wengi hudunda chini Lakini few huamka jo Ndio maana nachapa tizi Incase stuff ziget physical I get money on the minimal Wewe goks mimi digital Kuja tukufunze vile si huball I’ll be there fast ukidunga call But you better keep it biz Nipee beat naishia na keyz Nikitema wote wamefreeze Kama dame akishow double Dz Rap game me sidai for lease Kama Ruto nabeba hii shamba Walitry kunifunga na kamba Kumbe wana mess na mkamba Nikiroga jo! nawabamba Hii ni flow ya asali unalamba Ukifunga jo kumbuka kaza After hit usipunguze ladha Kama ni pressure zidi kusesa jua utatesa Wakiku measure chapa kalesa weka kapressure Nafika kupika na chef jo nipunguze pressure Chapa kakolo at home nipunguze pressure Mi hutembeanga solo jo nipunguze pressure But im a diamond though Nakuja na pressure Nakuja na pressure Nakuja pressure Shawty just leave me alone Mbona unakuja na pressure I be chilling in my zone Mbona unakuja na pressure Nakuja na pressure Nakuja pressure Wanadai ufike 6 to 6 job ni pressure Maodi mtaani wanadai kukurob ni pressure Deni haijaisha na simu inalia pressure Kuna curfew na bado huna mat ni pressure Boss akichelewa mshahara pressure Suka landlord na bado anakwara pressure Gari inazima na uko barabara pressure Udishi kibanda uanze tu kuhara pressure Nafika kupika na chef jo nipunguze pressure Chapa kakolo at home nipunguze pressure Mi hutembeanga solo jo nipunguze pressure But im a diamond though Nakuja na pressure Nakuja na pressure Nakuja pressure Shawty just leave me alone Mbona unakuja na pressure I be chilling in my zone Mbona unakuja na pressure Nakuja na pressure Nakuja pressure
Struggling with Pressure? Become a better singer in 30 days with these videos!
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Pressure Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2024. Web. 2 Nov. 2024. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/5149207/Mansa+Akeem/Pressure>.
Discuss the Pressure Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In