Mchungaji Wangu
Heavenly Melodies Africa
Become A Better Singer In Only 30 Days, With Easy Video Lessons!
Upendo wako wanijaza na furaha Neno lako ndilo nguzo na silaha Yesu wewe watosha Yesu Mchungaji wangu Sitapungukiwa na kitu Kando ya maji matulivu huniongoza Pokea dhabihu yangu Na wimbo wa moyo wangu Maisha nakutolea Niongoze unavyo penda Eh Bwana Wewe ndiwe tumaini la uzima Ahadi zote ni za milele Yesu Wewe watosha Yesu Mchungaji wangu Waburudisha nafsi yangu Kikombe changu kimejazwa vizuli Pokea dhabihu yangu Na wimbo wa moyo wangu Maisha nakutolea Niongoze unavyo penda Eh Bwana Nitaimba sifa zako bwana Nitaimba tenzi za rohoni Umetenda mambo makuu Wewe ndiwe njia na uzima Pokea dhabihu yangu
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Mchungaji Wangu Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2023. Web. 4 Dec. 2023. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/4177977/Heavenly+Melodies+Africa/Mchungaji+Wangu>.
Discuss the Mchungaji Wangu Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In