Nawewe
Pole Classic
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Nikikuwazaga mwenzako wewe napata taabu Sheria nimezitunga mwenyewe sasa sioni gubu Pazia lifunikie nyama tele wangu tabibuu Kichwa changu japo kizito mapenzi ajabuu Ooh lalaa Akili imechooka kufikiria Nimekuanzishia we endelea Huba zako mwenzangu zime nikolea Usitoke nitakosa pa kuendea Nakuoota mwenzako umenitosha Unavyodeeka mi kwako nitakesha Mi napeenda unavyoniendesha Yote tisa na kumii Chorus Twende na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Mimi na wewe eeh eeh Nawe Verse 2 Kachiri kachiri kachiri saga Ndo silali mwenzako nishike hapa Nakupenda mpaka mimi naogopa Wa Karima atujalie nitaokota eeh Usiwe mwana isaya roho ngumu utanishika pangu pabaya Au niende kwetu siaya vaibu la bongo kisha wangu changama Nakuoota mwenzako umenitosha Unavyodeeka mi kwako nitakesha Mi napeenda unavyoniendesha Yote tisa na kumii Chorus Twende na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Mimi na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Twende na wewe Nawe Mimi na wewe Nawe Eeeh eeh eeh Mimi na wewe Mimi na weh Aaah
Watch: New Singing Lesson Videos Can Make Anyone A Great Singer
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Nawewe Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2025. Web. 25 Jan. 2025. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/14764996/Pole+Classic/Nawewe>.
Discuss the Nawewe Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In