Zero Pressure (feat. Okello Max & Watendawili)
Elisha Wasaga
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Nimepata habari ati huna amani Unalia kwa kitanda unataka kuvuna Wakati wa kupanda unatafuna mbegu Gin gichamo matunda kech bironegi yawa Terri mos mondo apimni You're rolling with the big boys but huna voice Pretending you're humble but huna choice Relax take it slow Relax take it slow Hii maisha zero pressure Ukipata burudika, ukikosa Kula ngoma wacha pressure Ruka kama mwenye ata hana stress Maisha mwendo pole take it at your pace Kushindana na jirani si itakumess Usitongoze msichana na pesa za rent,pressure Hatushindani na jirani, zero pressure Bila guchi patipati luku safi,zero pressure Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure Hatushindani na jirani, zero pressure Bila guchi patipati luku safi,zero pressure Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure Wai mummy jomoko yweyo ei mo Instagram iliche pichni mana iphone Andis thirteen and above pesa huna Crazy crazy thagori bedsitter medie medie Onge kata kuma ng'ato dibedie Awuoro sana, maajabu sana ai Usiwahi complicate mamayo Maisa ya kuimitate mwanamu Pinyni wan we wakalo kawadhi Ngima yolo kokidak gadiera mano sauchi Wolololololo An adak gi hera Gimagicho etoka okobadha Bedie ni andiso akala Kata anyono gi ndiga Nyasachwa mogwedhi no Emanipo kochopona aah Hatushindani na jirani, zero pressure Bila guchi patipati luku safi,zero pressure Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure Hatushindani na jirani, zero pressure Bila guchi patipati luku safi,zero pressure Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure Nawasha kitu naseti movie Natulia tuli tuli maji ya mtungi Sitaki zogo sitaki nuksi wakisha udi Leo ni vest na machupi madem wakum Akuku danger Bibi wa kwanza to wakumi nishajengea keja Bosi mbona we hutaki nikule anasa Saa ngapi wanipigia na niko Mombasa Vacation nikienda nataka nile bata Kata sim niko lit na nazidi washa Nakublock nakudelete juu sipendi pressure All I have to say tupatane Monday Lakini hii weekend sitaki stress ipande Eeh wacha tu ibambe Eeh kazoze na katambe Eeh wacha itubambe Hatushindani na jirani, zero pressure Bila guchi patipati luku safi,zero pressure Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure Life ni fupi sishtuki, so hapana leta pressure Hatushindani na jirani, zero pressure Bila guchi patipati luku safi,zero pressure Seafood ni omena na tunywe maji,zero pressure Life ni fupi sishtuki, so hapana leta Pressure pressure Ukiwa na deni yangu nilipe mapema mapema Hii ni biashara mwenzangu si ati niko na maringo Pressure ya nini Maisha taratibu Nishakuambia mimi Mimi sitaki nuksi wewe wewe we Sitaki swara wewe we lelelele eeh eeh eeh
The easy, fast & fun way to learn how to sing: 30DaySinger.com
Written by: Edgar Onyach, Elisha Wasaga, Gordon Odhiambo, Julius McRymboh, Ywaya Simon
Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
Citation
Use the citation below to add these lyrics to your bibliography:
Style:MLAChicagoAPA
"Zero Pressure (feat. Okello Max & Watendawili) Lyrics." Lyrics.com. STANDS4 LLC, 2025. Web. 12 Feb. 2025. <https://www.lyrics.com/lyric-lf/13903942/Elisha+Wasaga/Zero+Pressure+%28feat.+Okello+Max+%26+Watendawili%29>.
Discuss the Zero Pressure (feat. Okello Max & Watendawili) Lyrics with the community:
Report Comment
We're doing our best to make sure our content is useful, accurate and safe.
If by any chance you spot an inappropriate comment while navigating through our website please use this form to let us know, and we'll take care of it shortly.
Attachment
You need to be logged in to favorite.
Log In